Je, nimekosea kuwapotezea baadhi ya ndugu zangu? Naomba ushauri tafadhali


Sahihi kabisa ila inauma historia inakuwa kama inakumbushia machungu
 
Wape 50% ya heal! Yesu Kristo anasema kumpenda yeye huku unamchukia ndugu ni bure kabisa!
Usilipe baya kwa baya!
 
Najitahidi kujiweka mbali kidogo nao pia
Mwenzio wamekufanya wewe mtaji..5m si baba we mkope akishazipokea tu anaanza matusi,kuvimba na hakurudishii.ugomvi upya.
Waambie hali ya uchumi imeyumba,kwa sasa Hata ada za kusomesha watoto wa ndugu nazipata kwa tabu..akajaribu saccos au bank.

Kama hutaki magomvi jiweke mbali na huyo Dada.usijihusishe nae kwa lolote.uambie moyo wako nimesamehe ila nimejifunza,sirudii tena.
 
Wazikaj ndo hao
 

Kwa kweli nilimsamehe ila somo nimelipata na asiyejifunza ni mjinga. Sitaki kuwa kwenye fungu la wajinga
 
Inabidi uwe na UJASIRI Ambao ndugu zako lazima wataupa jina la UKATIRI.
vinginevyo utakuwa na HURUMA ambayo watu wenye kupambania maisha wanauita UOGA
...wapotezee tu ..kama unakipato kinachoeleweka jaribu kuhama ukakae mbali kabisa..wakati mwingine familia zetu kama hazina mipango mizuri nawewe inabidi upunguze mawasiliano
 

Mawasiliano nimepunguza sana. Sipatikani kirahisi hivyo. Wanaweza kunitafuta tuseme wiki hii kwa mfano nikahisi harufu ya mzinga, naweza kukaa hata miezi nikiamini endapo ilikuwa ni dharura basi limepita. Hapo ndo naruka hewani na vizingizio lukuki.
 
Yaaani ukiwasaidia ndo ujue mwisho wako utakua ni mbaya sana,kwa sababu pesa ambazo utawapatia ndo hizo hizo watakazo kwendea kwa mgangaa ili ziishe.

Sent from my EVA-L19 using JamiiForums mobile app
 
Duuuh aisee wasaidie kwa kadri unavyoguswa wasamehe mkuu ila all in all fuata moyo wako

Kiwasamehe ni kitu kingine na kuwasaidia ni kitu kingine...

Hiyo hela ni bora akatoe msaada kwa watoto wasiojiweza, vikongwe na wajane kuliko kumpa mtu asiyejali utu...period!!!
 
Nina ndugu wa hivi kaka ....nimewasukumizia mbalia maili mi saba so kidogo...they have to learn from their mistake ...wafundishe tena una huruma huyo dingilai ningekua mimi nisingemtesa ila ninachompa ningefanya kila nikimpa akumbuke mateso aliyompa mama na sisi
 
Unaambiwa toa kiasi ambacho hata ukizulimiwa hautojali ila kusema unamkopesha Ndugu kutegemea malipo tegemea lawama. Akiomba mkopo 5m, mpe 500k mwambie nimekupa bure sitokudai.... NOTE: Hio 500k nimetoa mfano tu maana sijajua uwezo wako upoje.... ila nadhani utakuwa umenielewa.
 
Yusufu aliuzwa kwenda Misri kuwa mtumwa na nduguze wana wa Yakobo....it must have pained him a lot.

Ila alivyokutana nao tena huko Misri akiwa mtu mkubwa ktk utawala wa Farao aliwasamehe. Funzo tunalopata hapa ni kuwa msamaha ni beneficial kwenu nyote...unawaweka huru na hisia za chuki na hatia.

Usipowasamehe itakugharimu maana utabeba mzigo wa chuki..utakaoathiri hata afya yako. Usilipize kisasi. Ni ngumu ila ukimuomba Mungu atakusaidia kutua mzigo wa chuki ulioujaza.

 

Kuwasamehe nimewasamehe ila kuwa msaada kwao mimi siyo Yusufu
 

Mzee kwa kweli kuna wakati najihisi kumpa ukweli ila nampotezea. Umri umekwenda anahesabu siku tu hivyo nimeamua kumuacha
 
"Whats come around go around". Hilo gurudumu linakuwa linawazungikia nyote. Hao watoto wao wanaweza kuwa vizuri gata ngazi ta Bakhresa watoto wako wakawa choka. Au vijukuu au vitukuu. Kumbuka ukoo huwa hauishi.
Karma inawatesa na karma vilevile itakutesa au itawatesa watoto na wajukuu.
Waparestina na waislael ni ndugu ila karma inawatesa.
Watalibani ni ndugu ila karma inawatesa sana, ni watu wa visasi dunia nzima inasubiri. Wapo tayari kulipa kisasi hata kizazi cha tano just imagine!
 
Kuwasamehe nimewasamehe ila kuwa msaada kwao mimi siyo Yusufu
Wewe hujawasamehe completely ndiyo maana bado unayo chuki against them. That anger amd hate will consume you.

Mungu alikuinua kiuchumu kuliko ndugu zako kwa makusudi kabisa...sasa hivi na wewe unajaribiwa kiimani kwa kutakiwa kuwasaidia wale waliokuwa watesi wako hapo awali.

Unapoamua kusamehe...samehe completely kama Mungu atufanyiavyo tumuombapo msamaha. Wakikuomba msaada wasaidie kama uwezo upo, kindness yako itawamaliza kabisa kuliko hate.

Kuwasamehe haimaanishi usiwe cautious na kuwaingiza tena kwenye wigo wako.
 
Tatizo Mzee wangu hanielewi. Ila yeye nimemsamehe. Matatizo yake na marehemu mama yangu niliyaweka pembeni. Ninasimamia hali yake ya afya na matunzo ya kila siku
Huyo ndio wakukazia kabisa ndiye aliyeipanda roho y kikuda kwa ndugu zako mkazie bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…