Je, nimekosea kuwapotezea baadhi ya ndugu zangu? Naomba ushauri tafadhali

Mkuu watafute wahitaji wa ukweli wasaidie hiyo million achana na hao ndugu watakuponza.
 
bora umsaidie shemeji yako kuliko huyo dada yako. kwa sababu huyo dada yako/mfitini si familia yenu alishaolewa na mzee wako alishapokea mahari.
kwanini shemeji!? sababu yeye ndiye kichwa cha familia yake so ukimsaidia kuna nguvu ya wema/utu.
 
Sawa mkuu
 
Nimekupata mkuu
 
Samehe waliokukosea especially wakiwa damu yako, ila misaada ya fedha haisadii inalemaza ndugu, waache wapambane wenyewe kutafuta kama wewe ulivyotafuta. Ukimpa 5m atazifuja kesho atarudi kuomba 7m maana kaka yupo na anazo, halafu ukipunguza laki tu lawama. WAACHE WAPAMBANE NA HALI ZAO
 
Ushauri wa kipumbavu eti ampotezee mzee wake!! We unajua laana ya kumpotezea mzee!!!??? Unatoa mifano ya Diamond wkt umeshaambiwa yule siyo baba yake mzazi, laana yake haiwezi kumpata.Mzazi ni mzazi hata kama kakufanyaje M/Mungu hawezi kukubariki wala kukusamehe maovu yako kama nawe umeshindwa kumsamehe babako mzazi.
 
Umnafiki ni mnafiki tu ,Chukua hatua
 
Mfano maisha yangekuwa yameko ange kuwa magumu wange kutafuta? ACHANA NAO
 
Sijui kama ni muhimu, ila mke 'mzungu' kwenye stori ameingia ghafla bin vuu sana…. enewei![emoji276]
Mke mzungu na jinsi alivyo pata mafanikio hajatueleza yaan mambo yamegeuka faster [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sina ROHO MBAYA.

Ila nina ROHO NGUMU balaa!

Ukinitenda makusudi kwa ubaya, basi wewe ndo umejenga ukuta baina yetu...

Yaani utajuta kunijua!!!
 
Sina ROHO MBAYA.

Ila nina ROHO NGUMU balaa!

Ukinitenda makusudi kwa ubaya, basi wewe ndo umejenga ukuta baina yetu...

Yaani utajuta kunijua!!!
Dah! Wengine sijui tukoje tunawezwa tukafanyiwa ubaya lakini bado tunasamehe tu, namuomba Mungu aniondolee roho hiyo
 
Dah! Wengine sijui tukoje tunawezwa tukafanyiwa ubaya lakini bado tunasamehe tu, namuomba Mungu aniondolee roho hiyo

Nadhani kuna mambo fulani ukifanyiwa unaweza kupotezea na kusamehe alafu kuna mengine yanakuwa na mazingira tofauti.
Hayafanani
 
Nadhani kuna mambo fulani ukifanyiwa unaweza kupotezea na kusamehe alafu kuna mengine yanakuwa na mazingira tofauti.
Hayafanani
Hayo hayo yenye mazingira tofauti yalinikuta lakini nikapotezea tu.
 
[emoji23][emoji28] mkuu unatema nyongo ya mamba
 
Muelekeze bank akakope huko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fact ni kwamba hiyo hela haitarudi na ukiidai kwa nguvu ndio undugu wenu utaisha kabisaaa..
Ukianguka hawatakusaidia hao nikukumbushe tu
Kama kukopa bank , vicoba , microfinance zipo waambie wakakopee huko.
Undugu uwe salam tu na kujuliana hali kama waliweza kuishi bila wewe kipindi hicho wajifunze kuishi bila wewe kipindi hiki pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…