Fact ni kwamba hiyo hela haitarudi na ukiidai kwa nguvu ndio undugu wenu utaisha kabisaaa..
Ukianguka hawatakusaidia hao nikukumbushe tu
Kama kukopa bank , vicoba , microfinance zipo waambie wakakopee huko.
Undugu uwe salam tu na kujuliana hali kama waliweza kuishi bila wewe kipindi hicho wajifunze kuishi bila wewe kipindi hiki pia.