Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nimesikitishwa na kitendo cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuniandika kwamba Mimi sio mtu mzima licha ya kwamba nimezaliwa mwaka 1958.
Hebu angalia picha hi ya orodha ya wapiga Kura.
Je hizi ni njama za kuninyima haki yangu ya kupiga Kura?
Tume ya Taifa ya Uchaguzi isifanye mchezo na haki ya kupiga Kura.