Uchaguzi 2020 Je, nimenyimwa haki yangu ya kupiga Kura?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Nimesikitishwa na kitendo cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuniandika kwamba Mimi sio mtu mzima licha ya kwamba nimezaliwa mwaka 1958.

Hebu angalia picha hi ya orodha ya wapiga Kura.



Je hizi ni njama za kuninyima haki yangu ya kupiga Kura?

Tume ya Taifa ya Uchaguzi isifanye mchezo na haki ya kupiga Kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…