Je, nimetenda dhambi?

Unataka ujue ukweli, dini zote ni man made...so unauliza according to dini gani..na interpretation ipi..Kuna madhehebu zaidi ya laki tatu ndani ya ukristo pekee...nobody knows dhambi ni Nini coz kila mtu ana interpretation zake za sheria za wayahudi au waarabu Ila we fata sheria za nchi na ishi na watu vizuri ukiendelea kumwamini Mungu wako. Kutojua dhambi ni ipi sio kosa lako ni kosa la aliyekufikishia huo ujumbe
 
Asante kwa majibu yako. Kuna kitu ni mejifunza. Tuwasikilize wengine wanasema je
 
Okay, mimi nipo hapa kukusanya maoni then tunatoka na definition ya dhambi. Ni dhambi hata kushika chupa la kileo kwa baadhi ya dini.
Na hizi ndizo sababu dini zinapoteza ushawishi miongoni mwa watu,sababu baadhi ya dini ktk maagizo yake,zimemfanya binaadam awe kama robot asiyeruhusiwa hata kufikiri secunde kadhaa.

Mtu anakwambia riba ni haramu ila biashara ni halali[emoji23][emoji23],yaani akikupa pesa usimrudishie pesa hiyo ikiwa na ziada,badala yake ukiweza mpe bidhaa yenye thamani zaidi kufidia lakini sio pesa.

Na wahusika hawaoni tatizo mungu wao kuwachezea matrix[emoji23][emoji23]
 
How can you stay away with negative thought, since they just come automatically
Nadhani Dr. amekupata vizuri. Negative thoughts haziepukiki ila unaweza kudhibiti zisikuathiri
 
Tukija hapa na definition ya dhambi huenda watu wengi wakawa huru. Asante kwa comment yako.
 
1 Wakorintho 6:9-10

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wanzinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.

Wala nyama kama nguruwe hawapo.
 
Nashindwa kukujibu kwasababu unataka u-justify things that are unjustifiable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…