Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
vijana mna safari ndefu
Kwa umri wake kwanza nimeshagaa kuwa eti anajua kubageni ,ndo mara ya kwanza leo namwita geto japo juzi nilimpa 5000 hata bila kuniomba leo namwita tuonane nashanga hizo sms nikaunganae ,yani kuku kwa mcheleMwanangu ww ni fala kinyama. Unataka ununue gono kwa buku 5? Dah ndio maana mnaugua kila siku.
Dem unampa buku 5 hapo atoe naul, sabuni ya kufulia chupi, na yy mwenyewe ajiweke msafi kwel? hapo lazima ukutane a uvundo tu,
Kila la kheli mwamba
Vitoto vya 2000 hivo ndo vinatumiagaa x badala ya sYaan kwa kweli mtu unatumiaje X jmn , pia ningeachana nae muda huohuo aiseee
Ana umri ganiKwa umri wake kwanza nimeshagaa kuwa eti anajua kubageni ,ndo mara ya kwanza leo namwita geto japo juzi nilimpa 5000 hata bila kuniomba leo namwita tuonane nashanga hizo sms nikaunganae ,yani kuku kwa mchele
Afu kwa bei Chee Sana...Bora angempa bure waenjoy tu kufa pamojaMnauziana ukimwi na gono hatari sana
Uko kama mimi sheikh.. afu demu mwenyewe uandishi wake tu unaleta kichefuchefu.Mimi demu mwenye njaaa njaaa napiga chini mapema sanaaa we fikiria umekaa zako unawaza Israel anavyotafuna vichogo vya maostaadh inaingia sms " baby sijala ntumie afu tatu nikanunue chips" hapo hapo namblock mwanamke hata afu tatu mpaka upewe shenzi
basi kuna watu wanamwambia huo upuuz anaonekana tu kwa chattingBint ndio katia town hivi karbuni kutoka kwako huko mureba hivyo ni wa kienyeji mno
Daah kumbe homegirl kabisa, mkuu unataka kuniharibia dadaππBint ndio katia town hivi karbuni kutoka kwako huko mureba hivyo ni wa kienyeji mno
akuachie wewe basi au utasema ni nduguDaah kumbe homegirl kabisa, mkuu unataka kuniharibia dadaππ
Hata wewe unaandikaje jmn badala uandike jamani huna tofauti na mtumiaji wa XYaan kwa kweli mtu unatumiaje X jmn , pia ningeachana nae muda huohuo aiseee