Je, nina ujauzito?

loveness93

New Member
Joined
Nov 19, 2018
Posts
3
Reaction score
1
Nliingia period tar.21/10 hadi 26/10 tarehe 2_4/11 nkakutana na mwenzi Wang ambapo pia cku hyo ya tarehe 3 ambayo ilikua siku ya 14 kabisa nliona ute wa ovulation lkn baada ya sex nlikaa kama masaa mawili ndo nkagundua ule ute baada ya kwenda haja ndogo.

Ilipopita wiki nkaanza kuona mabadiliko katika mwili Wang nkaanza kuhisi kichechefu muda mwngne natapika,nkaanza kupatwa na haja ndogo Mara kwa Mara nkajishtukia ikabd nipime mimba ndani ya wiki moja lakini UPT ikasoma negative na kadri muda ulivoenda vitu vingi vikawa vinajitokeza napata ucngizi wa ajabu na kupata uchovu balaa.Baada ya muda kwenda mbele maziwa yakaanza kuniwasha maeneo ya chuchu,hayakuvimba wala kuuma lakini yakawa yanawasha tu,

Nikaanza pia kuhisi maumivu kwa mbali chini ya kitovu upande wa kushoto,nkaanza pia kupata choo kigumu na kila nkienda haja kubwa nkawa napata maumivu kwa mbali chini ya kitovu japo kwa mbali aswaa,nikawa pia kuna wakati nikenda kukojoa nakutana nà ule ute kama ovulation unaovutika tena ukiwa clear kabisa,hivyo bac ilipofika wiki mbili kamili nlipima jioni ambayo ilikua tar.16/11 bado ikasoma negative japo pia nkikutana na mume Wang nkienda kujisafisha nakutana na ule ute

Sijui kama ni tatizo au lah na zile hali zote zimekata labda nikiwa nmetulia uwa nahisi kama kuna kitu kinapumua mithiri ya mshale wa saa ya ukutani unavotembea na sikupima tena nangojea tar.21 nione kama ntaenda period au lah jàpo cjui n nn çhanzo cha haya yote naomba ushauri doctor hadi kupima sikutaka tena.
 
Upt hua accurate vikifuatwa inavyotakiwa

Je uliangalia expire date zake?

Ndan ya wiki 2 majibu hua sahihi ukipima,yawezekana unawaza sana mtoto na vizr ukapime dam hospital upate majibu ya uhakika
 
Hio itakuwa ectopic pregnancy, cheki na wataalamu!
 
Upt ikisoma negative absolutely huna ujauzito...we achana na hizo dalili hazina ishu
 
Dalili zisikutishe

Huna ujauzito
 
Njoo nikukague yawezekana mimba upande wa kulia mwa placenta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…