Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Tangu niache kuweka mafuta bigbon walau mafuta yanakaa kidogo kuna baadh ya sheli hazifai kuweka mafuta mkuu ukisha jua usiende tenaHabari zenu wanajukwaa, Naombeni mnipe ujuzi wenu kama ninaibiwa mafuta ya gari?, Kuna kituo kimoja cha mafuta kila nikienda kuweka mafuta hapa Mbeya kila nilipokua nikienda kutia wese nakuta mashine zao hazisomi sifuri, yaani kama kuna mtu aliweka mafuta 5,000 mimi nkienda kuweka kwa macho yangu naona wanaminya 10,000 na risiti inatoka mafuta ya 10,000..nahisi nafanyiwa wizi mana nlienda kituo kingine nikakuta mashine zao zinasoma sifuri na walivyoniwekea mafyta ya elfu 10 gauge ilipanda vuzuri kuliko ile sheli ya kwanza
Je...ninaibiwa????
Nenda na kidumuHabari zenu wanajukwaa, Naombeni mnipe ujuzi wenu kama ninaibiwa mafuta ya gari?, Kuna kituo kimoja cha mafuta kila nikienda kuweka mafuta hapa Mbeya kila nilipokua nikienda kutia wese nakuta mashine zao hazisomi sifuri, yaani kama kuna mtu aliweka mafuta 5,000 mimi nkienda kuweka kwa macho yangu naona wanaminya 10,000 na risiti inatoka mafuta ya 10,000..nahisi nafanyiwa wizi mana nlienda kituo kingine nikakuta mashine zao zinasoma sifuri na walivyoniwekea mafyta ya elfu 10 gauge ilipanda vuzuri kuliko ile sheli ya kwanza
Je...ninaibiwa????