je ninaweza chaguliwa CBG

Joined
May 24, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Habari zenu wadau mm ni mhitimuform 4 mwaka jana nikapata alama zifuatazo je nawezachaguliwa nkasome combi ya CBG

Biolog-C. Chem-D geog-C english-B histor-C. Physcs-D. Civics-D Kiswa-D. Math-F.

Naombeni mnisaidie
 
Ndio yaani hapo bila shaka kama vipi jipange mapema
 
Wadau naomba kuuliza hivi kama una div 4 unaweza ku apply chuo gani?
 
Ndio haiwezi athiri kwa sababu comb ime balance kwa point 10
 
Habari zenu wadau mm ni mhitimuform 4 mwaka jana nikapata alama zifuatazo je nawezachaguliwa nkasome combi ya CBG

Biolog-C. Chem-D geog-C english-B histor-C. Physcs-D. Civics-D Kiswa-D. Math-F.

Naombeni mnisaidie

Hongera hapa CBG au HKL naona zitakuhusu kuwa na moyo wa kusubiri lolote linaweza kutoke na malengo yako kutimia kwa wakati maaana kila kitu kinawezakana.
 
Nashuru sana kwa kunitia nguvu ushauri wako ndo furaha yangu na matumaini yangu
 
Habari zenu wadau mm ni mhitimuform 4 mwaka jana nikapata alama zifuatazo je nawezachaguliwa nkasome combi ya CBG

Biolog-C. Chem-D geog-C english-B histor-C. Physcs-D. Civics-D Kiswa-D. Math-F.

Naombeni mnisaidie

Hapo lazima upate boy mm pia ni mwenzako nimepata bios-C Geog-C chem-C Xema math nlkula F, ila baada ya kupata ushaur humu Jf, nw xina wasiwasi nasubiria school selection 2, kama vip we anza kupiga tuit kabisa.
 
Mkuu mbona unaharibu kiswahili chetu?
 
Hapo lazima upate boy mm pia ni mwenzako nimepata bios-C Geog-C chem-C Xema math nlkula F, ila baada ya kupata ushaur humu Jf, nw xina wasiwasi nasubiria school selection 2, kama vip we anza kupiga tuit kabisa.

Dah nafeel better naona mwanga wa mafanikio
 
Yah, ila inabidi tujiandae kukaza msuli tu.
 
dogo hapo jiandae na h kunani aisee una f ya BAM af umefaulu masomo ya arts vzur...anza kusoma history mapema....f hyo watakubania cbg kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…