Je, ninaweza kufungua akaunti ya CRDB kwa kutumia cheti cha kuzaliwa bila namba ya NIDA?

Unaweza ukafungua, mimi mwaka jana nili fungua bila ya cheti cha kuzaliwa wala nida, ila barua ya mtendaji wa kata au mtaa ni muhimu, na pengine kitambulisho kingine kama mpiga kura,leseni nk.
 
Cha mpiga kura na leseni sina mkuu, nilichonacho cha kujitambulisha ni cheti cha kuzaliwa pekee
 
Jitahidi upate namba ya nida kipindi hiki ambacho vijana wa kidato cha sita wanavihangaikia.
Naskia baada ya wiki unapata namba ya nida.

Cheti cha kuzaliwa sio dili sana siku hizi, saivi ni nida mkuu.
 
DP WORLD WAKIJA WALAHI WEWE NDIO WAKANZA KUPELEKWA NCHINI DUBAI KAMA MTUMWA maana huna kielelezo chochote cha kuwa wewe ni mtanzania cheti chakuzaliwa sio dili siku hizi ni nida tu namba yake
Acha hizo mkuu
 
Jitahidi upate namba ya nida kipindi hiki ambacho vijana wa kidato cha sita wanavihangaikia.
Naskia baada ya wiki unapata namba ya nida.

Cheti cha kuzaliwa sio dili sana siku hizi, saivi ni nida mkuu.
Nida nimeambiwa baada ya week 3 mkuu
 
Back
Top Bottom