Knight rider
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 455
- 685
Sawa mkuuSidhani, ungefika kwenye Ofisi zao
Cheti cha nini huna kadi ha mpiga kura au namba ya nida ??Kwema wakuu?
Naomba kuuliza;
Je ninaweza kufungua akaunti ya crdb kwa kutumia cheti cha kuzaliwa bila namba ya Nida?.
Sina mkuuCheti cha nini huna mpiga kura au namba ya mpiga kura??
Kha kwanini?? Ni haki yako kuwa navyoo kama huna upo matatani hata leseni ya gari hunaSina mkuu
Shukran mkuuFree wapigie:
+255(22)2197700
+255(0)714197700
+255(0)755197700
Cha mpiga kura na leseni sina mkuu, nilichonacho cha kujitambulisha ni cheti cha kuzaliwa pekeeUnaweza ukafungua, mimi mwaka jana nili fungua bila ya cheti cha kuzaliwa wala nida, ila barua ya mtendaji wa kata au mtaa ni muhimu, na pengine kitambulisho kingine kama mpiga kura,leseni nk.
DP WORLD WAKIJA WALAHI WEWE NDIO WAKANZA KUPELEKWA NCHINI DUBAI KAMA MTUMWA maana huna kielelezo chochote cha kuwa wewe ni mtanzania cheti chakuzaliwa sio dili siku hizi ni nida tu namba yakeCha mpiga kura na leseni sina mkuu, nilichonacho cha kujitambulisha ni cheti cha kuzaliwa pekee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtumwa fuko!DP WORLD WAKIJA WALAHI WEWE NDIO WAKANZA KUPELEKWA NCHINI DUBAI KAMA MTUMWA maana huna kielelezo chochote cha kuwa wewe ni mtanzania cheti chakuzaliwa sio dili siku hizi ni nida tu namba yake
Acha hizo mkuuDP WORLD WAKIJA WALAHI WEWE NDIO WAKANZA KUPELEKWA NCHINI DUBAI KAMA MTUMWA maana huna kielelezo chochote cha kuwa wewe ni mtanzania cheti chakuzaliwa sio dili siku hizi ni nida tu namba yake
Nida nimeambiwa baada ya week 3 mkuuJitahidi upate namba ya nida kipindi hiki ambacho vijana wa kidato cha sita wanavihangaikia.
Naskia baada ya wiki unapata namba ya nida.
Cheti cha kuzaliwa sio dili sana siku hizi, saivi ni nida mkuu.
KweliAcha hizo mkuu
Cha kura sinampiga kura inatosha.