Je ninaweza kukishitaki chuo kikuu?

strong woman

Senior Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
131
Reaction score
37
Habari wakuu naombeni msaada wenu ninaweza lukishitaki chuo kikuu kwa kutonipa chet change bila sababu ya msingi??naombeni ushauri
 
Yaan hueleweki,sijui umesoma chuo gani ambako hukufundishwa kujieleza
 
Soma kwanza university charter yake, pia kama unahitaji msaada inabd utoe maekezo ya kina, kwa umenyimwa na umegraduate ln, chuo gani nk
 
Unaweza shitaki. Kifungulie Chuo chenyewe kesi. Soma Sheria ya Vyuo Vikuu inaeleza kuwa waweza shitaki chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…