Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
inategemeana dawa gani mfano ALU kwa jina la mtaani mseto ni vizuri unywe na maziwa ila kuna dawa hushauriwi fano doxycline au tetracyclineJapo sijawahi kushauriwa na daktari kwamba dawa hii ukimeza usinywe maziwa, lakini nimelelewa nikiaminishwa hivyo kwamba dawa na maziwa fresh haviendani. Sababu kuu ni kupunguza nguvu ya dawa. Je wataalam mlioko huku mnanipa majibu gani juu ya imani hii?