Je, ninaweza kupata spika ya sound bar yangu iliyoibiwa dukani?

Je, ninaweza kupata spika ya sound bar yangu iliyoibiwa dukani?

mtume wawatu

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2016
Posts
1,053
Reaction score
1,199
Ndugu zangu wapendwa husika na mada tajwa hapo juu. jana nimeibiwa spika ya soundba yangu. sasa najiuliza je dukani naweza nikaipata hii spika au ndo hivyo tena ?imepotea mpaka ninunue soundba mpya ndio ninaweza kuipata spika kama

IMG-20241004-WA0688.jpg
 
View attachment 3115361
Spika unaweza kununua nyingine tu. Agiza kutoka kwa mtengenezaji wa soundbar . Kama ni vigumu kupata kutoka kwao spika nyingine inaweza kununuliwa. Ingawa hujafafanua ni sound bar gani na pia kama wameiba subwoofer au surround speaker. Kama huwezi kupata kama ile ile hakikisha specifications kabla hujanunua nyingine hususan power output , impedance, nk. Ni bora upate ushauri kutoka kwa mtengenezaji ili kupata spika inayoendana na amplifier. Kama iliyoibwa ni subwoofer hakuna masharti yoyote ni mahitaji yako ya bass tu.
 
Back
Top Bottom