"Anuai"nimependa hii lugha mkuu, fanya shahada ya sheria,halafu kajiunge na shule ya sheria ufanya course ya uwakiliWakuu, salaam.
Nina shahada ya kwanza Elimu ya pili katika HR. lakini maishani nimetamani kuwa lawyer ingawa sikufanikisha kutokana na circumstances anuwai.
Naomba mnijuze kama nikifanya postgraduate diploma mfano hapo out ndoto yangu inaweza kutimia? Ama mnanishauri nifanyeje.
Analazimika kuanza bachelor degree upya?
Na vipi kuhusu shule ya OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA,kwa course ya sheria,haina usumbufu sana!!!???
******----******----******----******Wakuu, salaam.
Nina shahada ya kwanza Elimu ya pili katika HR. lakini maishani nimetamani kuwa lawyer ingawa sikufanikisha kutokana na circumstances anuai.
Naomba mnijuze kama nikifanya postgraduate diploma(PGDL) mfano hapo out ndoto yangu inaweza kutimia? Ama mnanishauri nifanyeje.