Je, ninaweza wa kufufua kesi ya ugaidi iliyofutwa na DPP dhidi ya Mbowe na wenzake?

Je, ninaweza wa kufufua kesi ya ugaidi iliyofutwa na DPP dhidi ya Mbowe na wenzake?

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Naomba msaada wa kisheria,
je nina uwezo wa kisheria kama mtu binafsi kufufua kesi ya ugaidi iliyo kuwa inamkabili Freeman Mbowe, Mohamed Ling'wenya, Halfan Bwire na Adam Kasekwa ambayo iliondolewa na DPP? naombeni ushauri.
 
Ukumbuke kutueleza mlikompeleka mzee kakobe
 
Wazee wa kutembea na biti za mama.

Huwa mnakera sana yaani. Watu gani kama maboksi nyinyi msiotumia akili zenu hata kidogo?

Alipoifuta ile kesi mlinyanyuka mkasifu sanaaaaa, kaongelea kuirudisha breki zimekatika mnatembea humo humo.

Mnaleta kinyaa sana
 
Back
Top Bottom