Naomba msaada wa kisheria,
je nina uwezo wa kisheria kama mtu binafsi kufufua kesi ya ugaidi iliyo kuwa inamkabili Freeman Mbowe, Mohamed Ling'wenya, Halfan Bwire na Adam Kasekwa ambayo iliondolewa na DPP? naombeni ushauri.
ndio maana nataka kuirudisha kama kuna uwezekano wa kisheria.Kwanini iliondolewa?
Sababu ya kuirudisha ni ipi?ndio maana nataka kuirudisha kama kuna uwezekano wa kisheria.
AhsanteNenda kaburini ilipozikwa kaifufue,inawezekana kabisaaa.
hakustahili kuachiwa huru.Sababu ya kuirudisha ni ipi?