nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
kisheria ndio mnaweza na mna ruhusiwa, nani aliteuliwa kua msamimizi wa mirathi? huyo anaweza kuibadili hati.
Ata angekua nani, huyo ni msimamizi tu, ila wanufaika lazima wawe watoto wa kuzaa wa marehemu alaf ndio watu wengine wanafuata.Aliyeteuliwa kupitia ni Mjuzuu wake.
A kusoma yote mkuu. ELEWA KWANZKisheria hampaswi kuongeza jina lolote katika hati hiyo.Sababu ni kwamba kama mzee wenu aliandika jina la huyo mjukuu alifanya kwa hiari yake na bila shinikizo la mtu yeyote. Hivyo basi kwa mawanda hayo hio nyumba ni mali halali ya huyo mwenye jina katika hati hiyo na sheria inamtambua ambaye jina lake lipo katika nyaraka fulani kuwa ndiye hasa mmiliki halali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisheria hampaswi kuongeza jina lolote katika hati hiyo.Sababu ni kwamba kama mzee wenu aliandika jina la huyo mjukuu alifanya kwa hiari yake na bila shinikizo la mtu yeyote. Hivyo basi kwa mawanda hayo hio nyumba ni mali halali ya huyo mwenye jina katika hati hiyo na sheria inamtambua ambaye jina lake lipo katika nyaraka fulani kuwa ndiye hasa mmiliki halali.
Hujamalzia kusoma mkuu. Soma vizuri taarifa uwelewe vizuri kabla hujatoa Mchango wako....
kisheria ndio mnaweza na mna ruhusiwa, nani aliteuliwa kua msamimizi wa mirathi? huyo anaweza kuibadili hati.
HahahahahahahahNyie mtakuwa na matatizo siyo bure [emoji848][emoji848]
Yani baba yenu alikataa kuwaandika watoto kama warithi akaandika mjukuu?
Yani halafu huyo mjukuu kafaje tena maskini ya Mungu?!
Mmnh ukute kuna namna!
Jamaa amewaza tu eti kichwani mwake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio muda huo ni miaka mitatu tangia marehemu aondoke, ila hata kama ukichelewa una ruhusiwa kufungua upya hio mirathi ila utaje sababu iliyokuchelewesha ktk form, so bado mna muda pia.Hatukuteua msimazi wa mirathi, je kuna muda wa kisheria kufungua shauri la msimamizi wa Mirathi?