Mr-Njombe
Member
- Aug 29, 2022
- 64
- 122
Umuofia kwenu ndugu zangu JF,
Mara kadha wa kadha kumekua na malalamiko kwa watu mbalimbali kuhusiana na long distance relationship, ambapo watu wengi wenye mahusiano kama haya wamekua wakilalamika, kuhangaika na hata kupoteza matumaini, na kwakweli wamekosa kuaminiana na kupelekea kulegalega mawasiliano na hatimae kuvunjika kwa mahusiano yao hasa pale ambapo mawasiliano ni magumu na gharama za mawasiliano zinakua changamoto kuzikabili.
Je,
hivi kuna faida yoyote ya kua katika mahusiano ya long distance ? Na je una ushauri gani kwa watu walio katika aina hiyo ya mahusiano. kwa mfano mwenzio yuko masomoni au kazini mbali na upeo wa macho yako n.k, ili mahusiano yao yaendelee kushamiri na kudumu?
tafadhali sana,