Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Mar 6, 2023 #1 Kuna kipindi tunafanya makosa kwa watu wengine, na wakati mwingine inatokea tunajifanyia makosa sisi wenyewe. inapotokea umejifanyia makosa wewe mwenyewe, unafanyeje kurekeisha makosa hayo na kujisamehe kabisa
Kuna kipindi tunafanya makosa kwa watu wengine, na wakati mwingine inatokea tunajifanyia makosa sisi wenyewe. inapotokea umejifanyia makosa wewe mwenyewe, unafanyeje kurekeisha makosa hayo na kujisamehe kabisa
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 Mar 6, 2023 #2 Kujikosea mwenyewe inakuwaje mkuu