Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

Baraka sheni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
471
Reaction score
197
Nimejaribu kulinganisha miaka 10 nyuma na miaka ya sasa hivi kupata msichana mwenye chuchu saa sita hazipatikani ni chache sana.

Je, hii kulegea na kuwa kama mtu alienyonyesha hutokana na nini?
 
Suala la Matiti linategemea vitu vitatu zaidi.

1/Maumbile ya Mtu(Jinsi alivyoumbwa au Asili yake)

2/Umri (Kadri umri wa binti unavyosogea mbele, ndivyo matiti hukua na kulegea)

3/Uzazi (Kupata mimba na kuzaa hupelekea matiti kuwa makubwa na kumwagika chini)
 
Chakula na mazoezi.
Huwezi kutegemea kuwa na kifua Standard huku Hufanyi mazoezi pa kutembea dada anapanda bodaboda.
Huwezi kuwa na kifua standard kwa kutegemea kula soseji,chips kuku wa kisasa, maumbile lazima yakengeuke.
ndio maana leo ni kawaida kukuta dada bikra lakini maziwa yako parallel na mwili wake.
kwa hiyo sio kila mwenye maziwa yaliyolala leo ni MUHUNI
 
Umemaliza mkuu, kikubwa wengi hawajui wanaharibu miili yao kwa kutopata lishe nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…