Kingfish23
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 490
- 485
Wana nyota ya punda, just like lipumba. Fikiria usomi wake na political power aliyowah kuwa nayo na uhalisia wa nyumba yake pale Ilolangulu mizaniNipo mkoa wa Tabora kwa kipindi cha takriban miaka 10 sasa.
Nimebaini wananchi wanalima sana zao la Tumbaku kila mwaka na wanalipwa vizuri tu lakini ukiangalia mambo ya maendeleo kwa wakulima husika siyaoni zaidi ya kusubiria miradi ya Serikali kupata huduma kama afya, elimu na maji vilevile na hali yao kimaisha sio nzuri.
Tumbaku ya namtumbo ni ya moshi na Tabora ni ya mvukr, bei na uoenzi ni tofautiHilo zao n la kidwanzi Sana
Miaka ya 90 maeneo yasongea lilikuwa zao maarufu Sana lakn kila mwaka ilikuwa lazma usikie vifo mtu kafia katika tembe la kukaushia tumbaku kwa Moshi
Pia makampuni yakaanza upigaji hasa pembejeo kuwa ghali na vyama vya ushirika navyo kimkandamiza mkulima
Kwa sasa songea vijjn naona wameachana na zao hili wapo na Mahindi na kahawa kwa baadh ya maeneo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sera ya taifa ya tumbaku, taratibu na sheria zake zimebadilika, sheria za Vyama vya ushirika ndio labda kandamizi na wakulima kutolima eneo kubwa, otherwise ni uzembe ila kwa sasa tumbaku ina tija tofauti na nyuma. Grade za chini sio chini ya 0.9UsdHilo zao n la kidwanzi Sana