Naomba kujua na kisha tujadili malengo ya Elimu ya Msingi wakati huu wahitimu wa darasa la Saba wakijiandaa na Mtihani wa mwisho.
Hii itatusaidia kufanya tathmini juu wa ubora wao kwa kuzingatia malengo ya Elimu ya Msingi.
Nakuomba wewe mdau wa elimu ya Tanzania tujadili pamoja.