Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,924 Jun 12, 2020 #1 Corona Wakati inaanza Ilikuwa ukivaa Mask bus zima Linakushangaa😲 Ikaja kipindi Wote kwenye bus wanavaa, na usipovaa Watu wanakushangaa,😲 Sasa hivi bus zima hawavai, ukivaa wanakushangaa,😲 Inanitatiza shida nini🤔🤦
Corona Wakati inaanza Ilikuwa ukivaa Mask bus zima Linakushangaa😲 Ikaja kipindi Wote kwenye bus wanavaa, na usipovaa Watu wanakushangaa,😲 Sasa hivi bus zima hawavai, ukivaa wanakushangaa,😲 Inanitatiza shida nini🤔🤦
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Jun 12, 2020 #2 Na hivi ulivoiandika tunakushangaa😳😳😳😳😳
Superfly JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 985 Reaction score 2,066 Jun 12, 2020 #3 Shida ni kwamba kila kitu Tanzania tunafanya kwa msimu, uendelezaji na ufuatiliaji wa mambo hakuna kabisa!
Shida ni kwamba kila kitu Tanzania tunafanya kwa msimu, uendelezaji na ufuatiliaji wa mambo hakuna kabisa!
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Jun 12, 2020 #4 Me naendelea kuvaa waache wanishangae.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 Jun 12, 2020 #5 Rais alisema corona imeisha