Je, nini maoni yako juu ya hili?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Corona Wakati inaanza Ilikuwa ukivaa Mask bus zima Linakushangaa😲

Ikaja kipindi Wote kwenye bus wanavaa, na usipovaa Watu wanakushangaa,😲

Sasa hivi bus zima hawavai, ukivaa wanakushangaa,😲

Inanitatiza shida nini🤔🤦
 
Shida ni kwamba kila kitu Tanzania tunafanya kwa msimu, uendelezaji na ufuatiliaji wa mambo hakuna kabisa!
 
Me naendelea kuvaa waache wanishangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…