Je nini mdhara ya body spray deodorant?

Bhbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
714
Reaction score
210
Najamani naomba kujuzwa kama kuna madhara yoyote mwilini kwa kutumia body spray perfumes na deodorant. Kuna nyingine ukijipulizia mwilini unahisi kama mwili unawaka moto.
 
Kiukwel hizo ni sumu tunaingiza mwlin bila kujua kutumia diodorant ili makwapa yastoe jasho ni sawa na kuziba eksoz ya gari listoe moshi Mungu sio mjiga aliyeweka vitundu ktk ngoz yako!!
 
Mkuu unamaanisha Spray nazo zinaziba vinyweleo? mim nilidhani Roll-on deodrant ndio zinaweza kuleta hitilaf hiyo
Kiukwel hizo ni sumu tunaingiza mwlin bila kujua kutumia diodorant ili makwapa yastoe jasho ni sawa na kuziba eksoz ya gari listoe moshi Mungu sio mjiga aliyeweka vitundu ktk ngoz yako!!
 
Najamani naomba kujuzwa kama kuna madhara yoyote mwilini kwa kutumia body spray perfumes na deodorant. Kuna nyingine ukijipulizia mwilini unahisi kama mwili unawaka moto.

kheeeeee kuwaka moto si ndo madhara yenyewe hayo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…