bichwa mtoto
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 274
- 563
Habarini wapendwa katika Mungu, lengo la kuja kwenye jukwaa hili ni kutaka wazo la biashara la kuongezea katika kibanda changu nilichoanza.
Mimi nipo Geita Mjini, mwezi mmoja uliopita nimeanza biashara ya M-Pesa na mtaji usio pungua milioni moja kwa kukodi kibanda ambacho ndipo naendeshea, mambo si haba wateja napata kiasi.
Lengo la kuja hapa nimeona kibanda ni kikubwa naweza endeshea biashara nyingine, kupitia nyie wadau niweke bidhaa zipi ambazo zitasaidia pia mzunguko wa fedha angalau kuongezeka?
Ninawaza machine ya popcorn ingawa sina na uzoefu na biashara hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app