bichwa mtoto
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 274
- 563
Ushauri nimeupokea kakaMkuu hapo kwa hicho kibanda nianvyokiona ongeza double kick,cuca,diamond,banana,sportsman,sm,club na maji ya chupa lakini pia na kandoro na usisahau k-vant,konyagi na valuer za kupima
Mkuu hapo kwa hicho kibanda nianvyokiona ongeza double kick,cuca,diamond,banana,sportsman,sm,club na maji ya chupa lakini pia na kandoro na usisahau k-vant,konyagi na valuer za kupima
ukiweza hili utakuwa umetoboa, ushauri muruwa kabisaMkuu hapo kwa hicho kibanda nianvyokiona ongeza double kick,cuca,diamond,banana,sportsman,sm,club na maji ya chupa lakini pia na kandoro na usisahau k-vant,konyagi na valuer za kupima
nimekuelewa kwa HERUFI KUBWAMzee kama uko siliasi na iyo biashara usiongeze kitu umo ndan sijui maji sijui biscuit wala soda no usiongeze izo mambo deal na iyo iyo biashara ongeza til no za tigo pesa halo pesa na mitandao mingine biashara ikichangamka tafuta mashine za mabenk kama wakala wa nmb mobile au fahari huduma sijui mashine ya ya kununua luku na mazagazaga mengine ya mtandao na pesa
NB nairudia usiweke maji biscuit sijui soda wala sigara kweny kibanda chako ila choice ni yako tafuta Mia ukose buku
π
Mzee kama uko siliasi na iyo biashara usiongeze kitu umo ndan sijui maji sijui biscuit wala soda no usiongeze izo mambo deal na iyo iyo biashara ongeza til no za tigo pesa halo pesa na mitandao mingine biashara ikichangamka tafuta mashine za mabenk kama wakala wa nmb mobile au fahari huduma sijui mashine ya ya kununua luku na mazagazaga mengine ya mtandao na pesa
NB nairudia usiweke maji biscuit sijui soda wala sigara kweny kibanda chako ila choice ni yako tafuta Mia ukose buku
π