Je,nipo salama hapa?..naomba mawazo yenu wadau


Mmhh pole ila kama umesema uko nje ya nchi woga wa nini?! siku hizi hamna blabla DNA ipo kwaajili ya watu kama nyie, so mtoto akishazaliwa kampime then usiache kutujulisha na sisi matokeo, BEST WISHES!
 

tabia mbaya kama umeoa beba familia yako popote utakapokuwa ila kuwa mbali si kigezo muhimu tabia kwani hata mkae nyumba moja kwarukwaru pepo ngono atakuchakachua ila pambania ulipokosea kuacha ubavu mbali
 
inawezekana sanasana hiyo mimba ikawa yako!mimba hata ya wiki tu ukipima inajulikana!na wengine wanapata dalili mapema.imagine kwamba hito tarehe uliyorudi 12 dec,mkeo alikuwa kwenye ovulation,ina maana mimba ikashika,alipoenda kupima ikaonekana,ni sawa kabisa!halafu wewe wiki unaesabuje?usihesabu kila mwezi ni wiki nne,wiki 30 maana yake ni siku 30 mara 7=210,sasa hesabu dec 19, jan 31 ,febr 29,march 31,april 30,may 31,june weka 27 jumla 198,sasa unatakiwa ujue mimba wanahesabu kuanzia siku ya mwisho mkeo alipopata period,na kwa maana hiyo kama alikuwa kwenye ovulation hiyo yarehe 12 ulipofika,ina maana jumlisha 14 hadi 16 ,jibu unapata 212 na 214!sasa gawa kwa saba,ni wki 30 na siku kadhaa!
 
Nikisema dec 19,jan 31 nk,nk nina maana idadi ya siku tangu uliporudi!
 

ahsante sana mdau andishile kwa uchambu wako mzuri..kwa kweli nimeelewa vizuri sana. Pia ahsante zangu kwa wadau wote waliotoa mawazo na ushauri wao na kunielimisha kuhusu hili. Kwa wale wanaosema kwa nini sikumchukua mke wangu kukaa nae..habari njema ni kwamba nipo na mke wangu huki nilipo kwa sasa nilimchukua mda kidogo.ahsanteni sana na mungu awabariki wote
 

ok!nakupongeza kwa kumchukua kukaa nae huko ulipo!kila la kheri!
 
Jamani doctors and nurses are not angels! Hua wanakosea sometimes..ndoa ya rafiki yangu ilitaka kuvunjika kwa sababu ya issue kama yako baada ya mtoto kuzaliwa wala hakukua na haja ya DNA cause mtoto alikua photocopy ya baba yake!
 
Usikatae tamaa mapema Mwombe Mungu mke ajifungue salama mambo mengine baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…