mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
I HOPE UNASOMA SHERIA, SO PITIA TENA MAWAZO YAKO VIZURI. I DON'T SEE ANY CONTRADICTIONS WITH THEM TO PRACTICE WHETHER FROM JUDGE'S BUT MOSTLY TO MAGISTRATES. I HOPE IT STAYS THAT WAY, ISSUE YA CHIEF JUSTICE KUSHANGAA SIJAMWELEWA KABISA.Kama alivyoshangaa Mh.Jaji Mkuu wa Tanzania hata mie nashangaa.Japo sina utalaamu mkubwa wa Mambo ya Sheria lakini kwa elimu yangu ndogo hakika hao Majaji hawakustahili kufanya hivyo lakini kama ni kuongeza CV tu labda lakini kama ni kuwa Mawakili wa kujitegemea baada ya kukoma Utumishi wao sio sawa.
Mkuu hoja yangu ni kuwa,umekuwa Jaji mpaka umestaafu,leo unarudi kuwa Wakili wa kujitegemea unapambana na kijana wakili upande wa pili wewe wakili uliyewahi kuwa jaji unashindwa kesi hapo ndio napata shida.Nilitegemea huyo jaji mstaafu apumzike kuliko kukimbizana na vijana kisutu mwisho wa siku Wakili(Jaji mstaafu)anashindwa kesi.Mkuu kama sijakuelewa hivi.
Ni kwamba shida ni kuajiliwa na serikali au nikwamba unataka mawakili wote wawe majaj?
Nieleweshe kidogo
Mkuu hoja yangu ni kuwa,umekuwa Jaji mpaka umestaafu,leo unarudi kuwa Wakili wa kujitegemea unapambana na kijana wakili upande wa pili wewe wakili uliyewahi kuwa jaji unashindwa kesi hapo ndio napata shida.Nilitegemea huyo jaji mstaafu apumzike kuliko kukimbizana na vijana kisutu mwisho wa siku Wakili(Jaji mstaafu)anashindwa kesi.