Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uandishi wako umenisikitisha sana.Nimechaguliwa kwenda kusoma shahada ya ualim,sasa je endapo nkikuta somo moja wapo ya yale niliyochagua mim halifundish hapo chuon ntafanya nini??
Mkuu nmechaguliwa kusoma bachelor of science with education!! masomo nliyopanga kuyasoma ni Chemistry na Mathematics,sasa je ntafanya nin endapo ntakuta somo la Chemistry halifundshwi hapo chuon???Inawezekanaje uchaguliwe na chuo husika na usilikute ilo somo? Kwani umechaguliwa masomo gani na chuo kipi?
Xaxa ww ulitk aandik vp? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huu uandishi wako umenisikitisha sana.
Nimejisikia aibu kabisa kwa thread hii. Huyu mwamba ndo anasababisa waalimu tunaonekana watu wa hovyo kabisa.Xaxa ww ulitk aandik vp? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mwache ticha bana. Ana wasiwasi atakuta Kemia haifundishwi katika chuo alichochaguliwa halafu hata jina la chuo hataki kulitaja akapatiwa habari za uhakika. Ajabu sana !
Unachgua mwenyewe.Hivi kwa UDSM main campus unachagua masomo ya kufundisha au wanakuchagulia??
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaenda Chuo gani!?? Ili wajuzi na wakongwe toka chuo utakachotaja wakupe Muongozo Kama hizo teaching subjects zipo!!Mkuu nmechaguliwa kusoma bachelor of science with education!! masomo nliyopanga kuyasoma ni Chemistry na Mathematics,sasa je ntafanya nin endapo ntakuta somo la Chemistry halifundshwi hapo chuon???
Huo utaratibu labda umeanza hv karibuni 2015 kurudi nyuma walikuwa wanapanga wenyewe then unapewa nafasi ya kubadili Kama ukitaka!!Unachgua mwenyewe.
Mimi nilidahiliwa 2017 main Campus, na nilikuta mfumo huu wa kuchagua masomo. Na walio mbele yetu walikuwa wamepewa pia nafasi ya kuchagua.Huo utaratibu labda umeanza hv karibuni 2015 kurudi nyuma walikuwa wanapanga wenyewe then unapewa nafasi ya kubadili Kama ukitaka!!
Shukrani Sana mkuu kwa ufafanuzi mujarabu Kama sio mukitiribu, Hakika Mwanafunzi akishindwa kukuelewa wewe sijui kama ataweza kuelewa tena!!!Mimi nilidahiliwa 2017 main Campus, na nilikuta mfumo huu wa kuchagua masomo. Na walio mbele yetu walikuwa wamepewa pia nafasi ya kuchagua.
Tofauti ipo kwa wale wa BED ambao wote walihamishiwa na kutengwa kule SoED huwa wanasoma somo moja tu na mengine yote ya department, i.e BED ACE, BED PESS, BED Psychology etc.
Ila wale wote wa CoHu na CoSS pamoja na Bsc with Ed wanapewa nafasi ya kuchagua
Siku hizi hali ni tofauti mzee. Hata MUCE ambapo huu utaratibu ulichelewa, mwaka jana walianza pia.Shukrani Sana mkuu kwa ufafanuzi mujarabu Kama sio mukitiribu, Hakika Mwanafunzi akishindwa kukuelewa wewe sijui kama ataweza kuelewa tena!!!
Mambo yanabaridika 2013 sie tulikuta wamepanga Kwa wote tuliokuwa CoNAS nilikuta nimepewa BL na GE nikabadili ikawa BL na CH!!!