Je nitajuaje umri sahihi wa mpenzi?

Je nitajuaje umri sahihi wa mpenzi?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Naomba kujua, mbinu gani ni sahihi ili kujua umri sahihi wa mpezi, nauliza kwa kuwa, ni vigumu kujua 'junior' au 'senior' hasa maeneo ya mijini. Hii itasaidia kuepusha mahusiano baina ya kijana na 'mzee' bila ya mmoja wao kujua.
Naomba kuwakilisha
 
Ni vigumu sana kwani siku hizi vyeti vyenyewe umaenda chonga so labda utumie kadi ya clinic ndo waweza jua umri wa mtu
 
Sasa wapenzi tunakutana mijini, vyeti hata kama vipo, vipo vijijini. Ikizingatiwa na mapenzi moto moto...
 
Kama kweli ni mpenzi mtaambiana ukweli
 
Ili kujua kama ni 'mzee' au kijana. Unaweza ukafiri umeoa/olewa na kijana kumbe ni kibabu/kibibi.
 
Kata kiungo chake chenye Mfupa then tumia Carbon 14,
 
Ukweli kama haujathibitshwa si ukweli. Sasa nitathibitishaje?
 
muulize alianza darasa la kwanza mwaka gani? kisha unaweza ukakadiria umri wake.
 
Songoro - hebu tusaidie vizuri. Inaonyesha wewe ni mtaalamu
 
Age is nothing but a number, it has nothing to do with love.
 
hata wew mwnyewe unadanganya umri wako sahii...hili ni janga la taifa
 
Muulize atakacho kwambia ndio ukweli wake!
 
Back
Top Bottom