Je, Nitakuwa na kosa iwapo nitasajili kampuni yangu MIRINDA ?

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
- Mirinda siyo kampuni bali ni Trademark ya PepsiCo, Je, nikisema nisajili kampuni yangu kwa jina Mirinda ni kosa kisheria ?

- Na je, kilichosajiliwa ni Neno MIRINDA au Logo yake au hakuna tofauti ?

Msaada wadau !!
 
Nani amekwambia Mirinda ni ya COCACOLA?? Mirinda ni ya PepsiCo au SBC Tz Limited

hata hivyo sheria sidhani kama zinaruhusu...
 
Hata tradermark pia zinasajiliwa ndugu. Hio utakuta ishazuiliwa

Kama ni mfwatiliaji fuatilia kesi/ugomvi kati ya Bakhresa(SSB company) wenye brand ya Azam na Mikoani Taders wanaotumia Azania. Iliyokua inarindima Burundi au Rwanda kama sikosei. Ambapo Bakhresa alimuwahi Azania akasajili Azania kama tradename yake halafu kaiweka kapuni haitumii ili Azania akitaka kupenya soko la huko aje na jina jipya
 
Lakini mimi situmii Jina MIRINDA kama TradeMark bali ni jina la kampuni, kuna kosa hapo kumbuka hakuna kampuni inayoitwa hivyo ?
 
Ukienda BRELA ndio wanaweza kufanya clearance ya Company names, angalia kwenye site yao.
Ila hapana hutaweza kuregister jina la company yako kwa kutumia trademark ya company nyingine
 
Ndio labda ubadili badala ya mirinda kasajili marinda!!
 
Ukienda BRELA ndio wanaweza kufanya clearance ya Company names, angalia kwenye site yao.
Ila hapana hutaweza kuregister jina la company yako kwa kutumia trademark ya company nyingine
Kumbe
 
Lakini mimi situmii Jina MIRINDA kama TradeMark bali ni jina la kampuni, kuna kosa hapo kumbuka hakuna kampuni inayoitwa hivyo ?
Haiwezekani. Kwa kifupi tu trademark,tradename na company name zinatumika na mtu mmoja tu.

Wa kwanza kusajili ndo ana haki hizo
 
Na Je, kuna tofauti katika usajili wa LOGO na TRADENAME ?
 
Tofauti ipo kuna trademark pamoja na trade name. Yote yanatumika interchangeably.
Kuna msajili wa trademarks na kuna msajili wa company names. In order for a brand to be legally protected ni lazima vyote vikasajiliwe, nikimaanisha kuanzia company logo, trademark na jina la company
 
Back
Top Bottom