Je nitapata wapi matokeo ya Kidato cha Nne ya mwaka 2006?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Naomba msaada juu ya link au website ninayweza kupta matokeo ya Form IV ya 2006.
 
sidhani kama hayo matokeo yapo website ya baraza la mitihani, nenda taasis ya elimu pale mwenge mkabala na new world cinema wanavyo vitabu vya matokeo kwa miaka yote kwa shule zote watakusaidia na ni bure kuangalia
 
Ahsante! Kwani nimetafuta kwenye mtandao sanaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…