Habari za wakati huu ndugu na jamaa zangu?
Nikitambua ya kwamba kuna umuhimu mkubwa wa kujua hali ya uwekezaji, ila habari finyu za uwekezaji kwa Watanzania ni changamoto inayoshusha hamasa kwa uwekezaji.
Naomba kujua chanzo cha habari, hususani tovuti, ninayoweza kupata uchambuzi wa hali ya uwekezaji katika soko la hisa la Dar es salaam (Dar es salaam Stock Exchange).