Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,059
Salaam wanajukwaa wenzangu.
1) Kwa kuzingatia kuwa moja ya maudhui mtambuka ya Jeshi la Polisi (PT) ni kulinda usalama wa RAIA na MALI zao.
2) Sote tunajua na kuona taasisi na maofisi (mfano mabenki, ubalozi nk) na maeneo binafsi (mfano makazi ya watawala nk) hulindwa na askari Polisi/FFU.
3) Na pia kwa vile watu binafsi tunaposafirisha fedha (nyingi {?}) kupeleka benki nk huwa kuna utaratibu wa kuomba ulinzi (escort) ya polisi kwa malipo kiasi.
Je! ni kwanini linapokuja suala la mimi kutaka ulinzi wa askari hao hao madhalana nyumbani kwangu husema haiwezekani? Wao hushauri tuajiri makampuni ya ulinzi kwa ulinzi wa majumbani, lakini kwenye mambo kama hoja namba 3 huwa inakuwa sawa? Ina maana kwa Polisi fedha na dhahabu tu ndio mali za maana?
Maswali ya nyongeza:-
a. Sheria zinasemaje?
b. Je ulinzi na usalama wangu na mali yangu unaanzia wapi na unakoma wapi?
c. Kwanini?
Mwisho
Nafikiri ni muda muafaka sera na sheria zetu za ulinzi na usalama kuangaliwa upya ktk muktadha wa sasa na siku sijazo.