Je nitashika ujauzito kweli?

Ikula

Member
Joined
Feb 4, 2017
Posts
87
Reaction score
138
Nilianza period tarehe 4 mwezi huu nikamaliza tarehe 6. Mpenzi wangu akaja tarehe 16 tunasex na kesho anaondoka.

Najiuliza nitapata mimba kweli? Natamani mtoto jamani.
 
Utapata vizuri tena naona umelenga kwenye mtoto wa kiume kama Mungu akikujalia.

Lakini na wewe dada una umri gani mpaka usijue siku gani za wewe kuna chances kubwa ya kushika mimba
 
Nilianza period tarehe 4 mwezi huu nikamaliza tarehe 6. Mpenzi wangu akaja tarehe 16 tunasex na kesho anaondoka.

Najiuliza nitapata mimba kweli? Natamani mtoto jamani.
Kama ulitumia kondom, jua mimba ndo ishaingia hivyo. Utakuwa umesevu ukimwi tu lakini mimba iko palepale...

BTW... alikufikisha kileleni? Alikojoa mara ngapi??

Nataka nikusaidie kukalkuleti speed ya sperms ili nijue kama itakuwa mimba ya baamedi mtarajiwa au jambazi ajaye...
 
Ndio unaweza kupata ujauzito, japo tarehe 17 ndio ingekuwa the D day.
 
kama una uwezo wa kumpa mtu mimba, Mungu atakujalia mtoto.
 
Toka afike alikojoa Mara tatu juzi,Jana kakojoa Mara mbili round zilizofuata alinikojolesha mm tu
 
Utapata vizuri tena naona umelenga kwenye mtoto wa kiume kama Mungu akikujalia.

Lakini na wewe dada una umri gani mpaka usijue siku gani za wewe kuna chances kubwa ya kushika mimba
Siyo kila kitu utajua kaka
 
Mbona napata hisia kama hapo ulipo upo katika hofu kuu ya kupata hiyo mimba?

Kurudi katika swali lako
Mimba utaipata kwa hiyo tarehe uliyofanya
 
Mbona napata hisia kama hapo ulipo upo katika hofu kuu ya kupata hiyo mimba?

Kurudi katika swali lako
Mimba utaipata kwa hiyo tarehe uliyofanya
We mbona hufanyagi... huoni kama itapata kutu??
 
hivi mimba inapatika tarehe 16!!!!? 😱😱😱 mimi nilikuwa sijui..
 
mtu kategeshewa... shela na kitumbo haviruhusiwi nowdays
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…