Baraka Ngwavi
Member
- Jul 17, 2014
- 20
- 2
Wadau me nimechaguliwa bachelor of pharmacy KIU, ila naipenda sana medicine je kama nitachukua degree ya phamacy baaday naruhusiw kuja kusoma masters ya medicine ???
Still uko medical field mkuu! so ina dili sana pia mkuu japo haiwezi kua kama Medicine.
Hakuna masters ya medicine.
Hakuna masters ya medicine bali una specialize kwenye eneo fulani lakini haiitwi masters. Hivyo huwezi kubadilisha tu
Wadau me nimechaguliwa bachelor of pharmacy KIU, ila naipenda sana medicine je kama nitachukua degree ya phamacy baaday naruhusiw kuja kusoma masters ya medicine ???
umejuaje kuwa umepata md pale kiu? hata hivo ukifika chuo unaweza kubadilisha,ila sijajua kwenywe suala la mkopo itakuwaje