Je, niwekeze kupitia JATU Company PLC?

Matapeli hawa na sielewi kwanini wameruhusiwa kuuza hisa na kukusanya zaidi ya Billion 5. Wanadai wamelima na kuvuna, lakini hawataki kulipa wakulima wao. Cha kushangaza naskia hata kwenye hio App yao ya kuuzia chakula, chakula hakuna. Ukute hata hawajalima geresha tu.

Wanachukua pesa za watu alafu hawataki kulipa. Wafanyakazi wakiulizwa hawana majibu, ukimfata Mkurugenzi anaku'block.

Hawa watu watakiwa kukamatwa mapema kabla ya majanga walokutana nayo watu kwenye Mr Kuku.
 
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nimeona Mr Kuku amefufuka au huyu ni mwingine?
 
Hii ni kubwa sana kwangu imenifungua sana maana hawa jamaa wanavyojitangaza ni balaa kama ni marketing sijui ndio sales basi balaa[emoji1487][emoji1487] ila back to operations seems there are alot of problmes.

Mwaka huu wakanishawishi na mtindo wao wa kilimo cha karatasi kuhusu soya ukiwekeza kama 900,000kwa ekari unapata 1,800,000 ukitoa ujinga ujinga unapata faida ya 600,000. Wanasema wanabima ya kilimoo sijui kama kwelii.

kwa hii Thread yako mkuu siweki hata mia watu tangia 2016 hawajaweka wazi vitabu[emoji23][emoji23]. Basi watu wengi wameliwa sana.
 
Wanasumbua kulipa hawa JATU. Usipoteze muda wako.
 
Umefanya uamuzi sahihi. Wanahaha kutafuta hela ya kuwalipa wakulima sasa hivi. Jmosi iloisha wamebanwa hadi ya Takukuru walipe hela za watu
 
Soma Hiyo...Engineering Ngapi Huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…