Je, njia ipi ni nzuri ya kuzuia virusi vya Corona kati ya hizi mbili zinazotumiwa na Tanzania na Kenya?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Tanzania:
Maafisa wa kushirikiana na Jeshi la Zimamoto nchini wameendesha zoezi la kuppuliza dawa katika mitaa ya Jiji la Dar kama sehemu ya kupambana na ugonjwa wa Covid19.



Kenya:

Chaos at Likoni ferry channel as GSU offices descend on commuters


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinu mwafaka ni zile ambayo zinatolewa na wataalamu wa afya, wizara za afya, WHO na mashirika husika, sio wanasiasa. Wala ukiukaji wa haki za kibinadamu, kutoka kwa polisi wakiwa kwenye utekelezaji wa mikakati ya kuzuia mikusanyiko ya watu haihusiani moja kwa moja na kuzuia maambukizi ya virusi hivyo.

Punguzeni unafik bana. Hivyo hivyo kwa wale ambao wanatoa kauli za kishamba. Kwamba virusi hivyo vitatokomezwa na sijui maombi, mwili wa Yesu na ibada makanisani na misikitini. Acheni kuingiza uswahili mwingi, ligi za kiboya na kutafuta kiki za kisiasa kwenye masuala nyeti ambayo yanahusu afya na uhai wa binadamu.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruksa kutembea mchana ila kuanzia jioni ni marufuku,
Ina maana hivi virus havifanyi kazi mchana!
Kwenye nchi ambazo ziko chini ya jeshi ndio mara nyingi wanaweka sheria za kutotembea kuanzia jioni ama usiku,
Kwenye kukurupuka bila kufikiri hawana mpinzani ukanda wote huu.
 
This is bad.
 
Wakati viongozi wa nyumba jirani wameamua kupunguza mishahara yao (kutangaza ili waonekane na kupata sifa) na kuwapa pesa polisi ili wanunue mabomu ya kutoa machozi na virungu, Tanzania mambo yanafanyika kimyakimya, bila kutafuta kiki za kijinga. Tunajipanga hatukurupuki.
Opera News

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesikiza hiyo hotuba ya Uhuru au kufatilia hafla hiyo ambayo ilikuwa siku ya kitaifa ya maombi? Kuna sehemu ambapo umemsikia rais U.K akisema kwamba watu waendelee kuhudhuria ibada? Au kutoa tamko kwamba kaugonjwa kadogo ka Corona ni kashetani ambako hakawezi kakanawiri kwenye sehemu za ibada au kwenye 'mwili wa yesu'? Hebu kuwa serious jombaa.
 
Watu waendelee kuhudhuria Ibada kiaje wakati hiyo ni ibada, Unafiki na kukurupuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kila ambacho hajasema Uhuru basi si kosa, lakini alichosema Magufuli ni kosa?.

Sasa anayefanya makosa iweje hadi sasa anaonyesha mafanikio makubwa katika kukabiliana na kuenea kwa virusi vya Corona, wakati huyo mnayamtea hali inazidi kuwa mbaya?.

Acheni ujinga wenu wa kujifanya ninyi mko sahihi kwa kila kitu na muanze kujifunza toka kwa wanaofanya vizuri. Mumeshindwa kujifunza toka Tanzania jinsi ya kumaliza ukabila, Mumeshindwa kujifunza jinsi ya kupambana na rushwa, hata hili inaonekana mnashindwa kujifunza badala yake mnatoa sababu za kijinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga wetu hatutawacha na usitarajie tuwache hata siku moja.

Ukabila wetu hatutawacha pia.

Ufisadi hatutawacha pia.

GDP ya Makaratasi hatutawacha pia.

Lamu port white elephant hatutawacha pia.

Alshabab kutuua hawataacha pi.

SGR white elephant kuishia Naivasha haitaendelea pia.

Kupambana na Corona hatutawacha pia.

Njaa na nzige pia hatutawachana nazo.
Mambo yote mabaya hatutawacha.
joto la jiwe Rudi Nchi yenu ya Asali na maziwa, Bagamoyo port, Kinyerezi, Strigglers Gorge, SGR bullet train, Umeme wa mgao, Kigamboni City, Kawe City sisi tupambane na hali yetu mbaya.
 
Offcourse utasema ni povu kwasababu unachowaza wewe ni porojo, siasa za peni mbili na kusifia sifia mtakatifu wenu. Soma hizi taarifa na uangalie tarehe kwa umakini. City public health officials start fumigating public places in
Pingli-nywe, kwanini hataki kujifunza kwa waliofanikiwa badala yake mnafanya vitu vya ajabu?. Tatizo lenu ninyi hamjifunzi mnapenda kukurupuka Sana.

Huyo jamaa yenu anachokifanya kinaitwa "point fumigation", hicho kinafanyika kwa ajili ya sehemu ndogo ambayo mnadhani kunauwezekano wa kuwepo kwa wadudu, labda ndani ya hilo bus kulikuwepo mgonjwa, na Kama mnahisi alikuwemo mgonjwa, lazima huyo jamaa angevaa protective gears.

Ili kupambana na Corona lazima ifanyike "Mass fumigation" barabara na mitaa yote inyunyiziwe dawa kwa kutumia mitambo na magari makubwa yenye uwezo wa kurusha dawa kufikia juu Sana, sisi tumejifunza toka China, ninyi hii yenu mumejifunza toka wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia akili,usiwe kubwa jinga
 
Watu waendelee kuhudhuria Ibada kiaje wakati hiyo ni ibada, Unafiki na kukurupuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hafla hiyo ya maombi ya kitaifa, ya dini zote kwa pamoja, ilikuwa hiyo jana au leo? Hiyo hafla pale ikulu ndio ilikuwa mara ya mwisho ya ibada au mikusanyiko yeyote ya kidini kufanyika nchini Kenya, marufuku haijalegezwa hata kidogo. Najua unajitia tu hamnazo lakini umenielewa.
 
Acha maneno mengi na theories za kusifia bila matokeo. Mliopiga marufuku ibada mpo na wagonjwa wangapi, na walioruhusu ibada wapo na wagonjwa wangapi?. Msituletee maneno ya Bigger GDP ambayo haionekani on the ground, kila mradi mnakopa. We need to see the effects on the ground.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…