naombeni nipate kufunguka mshahara kamili wa wauguz diploma ..asante
naombeni nipate kufunguka mshahara kamili wa wauguz diploma ..asante
naombeni nipate kufunguka mshahara kamili wa wauguz diploma ..asante
600,000/ kwa mwezi
Dah sio mbaya kwakunzia maana sawa na mwalimu mwenye digrii yake! Ngoja nikipata nafasi ya chuo nikakomae na miziki ya anatomy na phyisiologyNurse mwenye dipolma na Clinical officer wanapata mshahara mmoja, wanaanza na TGHS B.1 ambayo ni kama 598,000/=
Hapo umenipata?
600,000/ kwa mwezi
Dah sio mbaya kwakunzia maana sawa na mwalimu mwenye digrii yake! Ngoja nikipata nafasi ya chuo nikakomae na miziki ya anatomy na phyisiology
Mwalimu anaheshimika zaidi ya mtu yeyote. Maana mwalimu anapokea "shikamoo" nyingi zaidi kwa siku kuliko hata rais wa nchi...!!!
Nurse mwenye dipolma na Clinical officer wanapata mshahara mmoja, wanaanza na TGHS B.1 ambayo ni kama 598,000/=
Hapo umenipata?
Hahahaha! au ndo yale ya heshima pesa ndevu mapambo!.
Tuzigeuze shikamoo kuwa ni hela.?
.
.