johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Papara za nini? Uwe unahakiki kabla ya kubandika.Hata ukiangalia venezuela maduro kamuachia predecessor wake maduro na hakutaka wapinzani wapewe angalia Urusi ,China ambao ni role models wa mwl wanaachiana party kwa party au wenyewe kwa wenyewe
Sasa mbona wapinzani walipopata fursa ya kuandika katiba mpya walikimbia bungeni wakiongozwa na Prof Lipumba?........ Au ndio waliufyata mkia!Sababu alitaka ccm itawale maisha
Hujiulizi uchaguzi wa 1995 kwenye kampeni alisema nini?
"Siwezi kuacha nchi yangu kuangukia mikononi mwa mbwa.
Hata ukiangalia venezuela maduro kamuachia predecessor wake maduro na hakutaka wapinzani wapewe angalia Urusi ,China ambao ni role models wa mwl wanaachiana party kwa party au wenyewe kwa wenyewe
sasa katiba angebadilisha si angewapa nafasi wapinzani "mbwa" kuchukua nchi.
Angekuwa mbinafsi asingetufumbua macho!Nyerere alikuwa mbinafsi kama walivyo watawala wengi waliomfuata!! Kwa kinywa chake alishakiri ubovu wa katiba yetu.
Mkuu CCM marafiki zao ni chama cha ukomunisti wa china na chama cha ukomunisti wa vietnam na kama sijakosea Frelimo cha Angola ambao wote sera zao za kijamaaPapara za nini? Uwe unahakiki kabla ya kubandika.
Alirekebisha hiyo katiba mwaka 1984 kwa kuweka vipengele vya haki za binadamu, vikomo vya mihula ya uongozi na kuondoa sheria ya kuwekwa kizuwizini.Mwalimu Nyerere alikuwa ndio mwanaccm wa kwanza kutujuza "ukuu" wa katiba yetu na kwamba inaweza kuwa rafiki au kinyume chake kulingana na matakwa ya kiongozi aliyopo madarakani kwa wakati husika.
Najiuliza kwanini hakufanya mchakato wa ama kuirekebisha au kutupatia katiba mpya?
Ni hilo tu!
Nyerere alikuwa mbinafsi kama walivyo watawala wengi waliomfuata!! Kwa kinywa chake alishakiri ubovu wa katiba yetu.
Mkuu CCM marafiki zao ni chama cha ukomunisti wa china na chama cha ukomunisti wa vietnam na kama sijakosea Frelimo cha Angola ambao wote sera zao za kijamaa
Na urafiki huo umeundwa kipindi cha nyerere na mpaka leo bado ni ally
.tumeona kinana akienda kwenye chama cha ukomunisti wa china huko china na akiwakaribisha lumumba same kwa polepole na juzi walikuwa Angola kusherehekea miaka ya frelimo
Kama ccm marafiki zao ni hao chama cha ukomunisti wa china,vietnam na frelimo na wanashirikiana mpaka kesho hivyo kurekebisha katiba kukuachia mpinzani kiupenyo sahau..tizama frelimo na siasa za Angola,tizama china ni chama kimoja tu na vietnam ambao ni role models wa ccm
So nipo sahihi ..
Nipo tayari kukosolewa
frelimo iko msumbiji na siyo angola.Mkuu CCM marafiki zao ni chama cha ukomunisti wa china na chama cha ukomunisti wa vietnam na kama sijakosea Frelimo cha Angola ambao wote sera zao za kijamaa
Na urafiki huo umeundwa kipindi cha nyerere na mpaka leo bado ni ally
.tumeona kinana akienda kwenye chama cha ukomunisti wa china huko china na akiwakaribisha lumumba same kwa polepole na juzi walikuwa Angola kusherehekea miaka ya frelimo
Kama ccm marafiki zao ni hao chama cha ukomunisti wa china,vietnam na frelimo na wanashirikiana mpaka kesho hivyo kurekebisha katiba kukuachia mpinzani kiupenyo sahau..tizama frelimo na siasa za Angola,tizama china ni chama kimoja tu na vietnam ambao ni role models wa ccm
So nipo sahihi ..
Nipo tayari kukosolewa
Kwani ile ya 1977 alitupatia nani? na je haikuwa mpya?Mwalimu Nyerere alikuwa ndio mwanaccm wa kwanza kutujuza "ukuu" wa katiba yetu na kwamba inaweza kuwa rafiki au kinyume chake kulingana na matakwa ya kiongozi aliyopo madarakani kwa wakati husika.
Najiuliza kwanini hakufanya mchakato wa ama kuirekebisha au kutupatia katiba mpya?
Ni hilo tu!
Asante kwa usahihisho ni MPLA ambacho kina mlengo wa kijamaa tokea uhuru mpaka leo wanaongoza wao tu na hata hao Frelimo wana mlengo wa kijamaa kama ccm tokea uhuru mpaka leo wanaongoza wao tu.frelimo iko msumbiji na siyo angola.
Nyerere alikuwa mbinafsi ile mbaya...Nyerere alikuwa mbinafsi kama walivyo watawala wengi waliomfuata!! Kwa kinywa chake alishakiri ubovu wa katiba yetu.
Toa ufafanuzi eti kamfumbuaje macho?Angekuwa mbinafsi asingetufumbua macho!
Angekuwa mbinafsi asingewaacha watoto wake ktk maisha ya kuungaunga,na hakuna aliyemkamilifu kwamba atafanya mambo yoteNyerere alikuwa mbinafsi ile mbaya...
Ulishawahi kuona swala anawaacha watoto wake warande rande porini?Nyerere siyo Reformist, alikuwa anajua sana kuwa hii katiba ni mbaya, na alikiri hivyo lakini hakuwa na Ujasiri wa kuibadiri
Unajua ilivyopatikana?Kwani ile ya 1977 alitupatia nani? na je haikuwa mpya?