Je, Nyerere alishindwa kutupatia katiba mpya kabla hajang'atuka?

Mkuu Masiya kwani huu upinzani ni halisi?!?......mimi nauona kama wa bandia vile!
 
Tundu Lissu aliwahi kuongea mapungufu ya Huyu mzee watu walipiga kelele kuna watu wanahamini bila Nyerere mpaka leo tungekua tunatawaliwa na wakoloni weupe Mpaka leo Mandela nikiongozi bora kulinganisha na Nyerere
 
huyu mzee alikua anajifanya anatupenda wkt alikua mnafiki tu.....

kama alikua na upendo na watanzania kweli basi alitakiwa kutupatia katiba ili ilinde yale mazuri aliyoanzisha!
 
mzee sijawah kumkubali, yan ukiwa msomaji wa vitabu huwezi mheshimu huyu baba..........
 
huyu mzee alikua anajifanya anatupenda wkt alikua mnafiki tu.....

kama alikua na upendo na watanzania kweli basi alitakiwa kutupatia katiba ili ilinde yale mazuri aliyoanzisha!
Lakini Kikwete alianzisha mchakato akina Mbowe wakauvuruga!
 
Nyerere Akutaka nchi hii iangukie mikononi mwa wapinzani. Mungu amrehemu.
 
Katiba ni ya kudai kwa nguvu zote maana iliyopo inawasaidia waliopo kuendelea kutawala wanavyotaka so ni lazima idaiwe kwa nguvu bila hivyo tataendelea kupata tabu sana chini ya huu utawala ambao kabisa unatukandamiza kwa nguvu zote kila mahali
 
Alikuwa mtaalam wa kucheza na akili za watu Ila alikuwa msanii na yeye kama hawa wa leo
 
Katiba ni ya kudai kwa nguvu zote maana iliyopo inawasaidia waliopo kuendelea kutawala wanavyotaka so ni lazima idaiwe kwa nguvu bila hivyo tataendelea kupata tabu sana chini ya huu utawala ambao kabisa unatukandamiza kwa nguvu zote kila mahali
So tunaanzia wapi kuidai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…