Linapokuja suala la mizani, hapo ndipo tunamuweka Mwl. Nyerere ( RIP) na kupima uzito wa mema na mabaya upande upi unazidiwa na humo ndimo unapata jawabu kwanini mwalimu ana-exit? MABAYA YAMEZIDIWA NA MEMA YA MWALIMU. Hakuna mtu ambaye ni malaika!!
Kuna wakati aliwahi kukili kuwa ktk kuongoza nchi huwezi ukafanya mema tu miaka yote basi wewe utakuwa siyo binadamu. Ndio maana wakati anahutubia mkutano na wazee wa dar es salaam alisema watu wasitazame mabaya aliyoyafanya kama binadamu kwa kipindi chote cha miaka 25 kwami yeye hakuwa malaika