incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Inategemea, kwa sisi kwenye ukoo tangu enzi ya mababu nyuki wanakuja wanajenga kwenye boma.Wakuu Habari ya Majukumu, leo Jioni kuna nyuki wamekuja na kutua kwenye mti ambao uko nyumban kwangu wa kivuli, hapa najiuliza namna gani naweza kuwatoa kwa usalama wa familia yangu, maana nina watoto chini ya miaka 10 wakorofi sana,
wasiwasi wangu ni Vipi endapo watawabonda mawe? Na je katika maana ya kiroho nyuki wana ishara gani wakitua katika makazi ya binadam.
Mizimu hiyo imechukulia nafasi hapo.Inategemea, kwa sisi kwenye ukoo tangu enzi ya mababu nyuki wanakuja wanajenga kwenye boma.
Kuna baba yangu mdogo aliwafukuza kwake kuhofia watang'ata watoto.. one day wakarudi wakang'ata mtoto mmoja first born mpaka akafariki.
After there...ni biashara na mambo yake yakaanza kuyumba sana, days went by wakaja wakarudi saivi yupo sawa.
Nb. Nyumbani kwetu pia wapo, hawang'ati wala, ila kuna ndugu yetu yeye kila akija lazima wamuume😂😂😂sijui shida ni nini