Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Wataalamu nisaidien.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhsnteNunua 100 bila valley na kofia, anza kazi!
AhsanteBati 110
Ahsante boss, umetumia za 3m au 2.5mBati 110 tu
Nimezingatia
Aina ya bati litakalotumika
Overall width
Effective cover
King post
Urefu wa mita 3Ahsante boss, umetumia za 3m au 2.5m
Vp mtalaam, mbao zinaweza kwenda hadi ngapiUrefu wa mita 3
M 10.6 kwa 11.5 inaweza kula ngapi ?Kiufundi hesabu timilifu ya idadi ya bati zitakazohitajika huwa zikipatikana baada ya kench kupigwa hususani kwenye hizi nyumba za mapaa mengi.
Hesabu yoyote inakayopatikana kabla ya kench kupigwa kwenye hizi nyumba za mapaa mengi huwa tukiita ni makadirio(approximation)kwamba kwenye uhalisia inaweza kuzidi,kupungua ama kuwa sawa.
Makadirio zitahitajika bati 89 pcsM 10.6 kwa 11.5 inaweza kula ngapi ?
NB ina mapaa mengi
Vp mtalaam kama design ya nyumba sio yale mapaa marefu sana iwe ile standard inaweza kula bati ya chini 110? Kama ngapi hivi ?Kiufundi hesabu timilifu ya idadi ya bati zitakazohitajika huwa zikipatikana baada ya kench kupigwa hususani kwenye hizi nyumba za mapaa mengi.
Hesabu yoyote inakayopatikana kabla ya kench kupigwa kwenye hizi nyumba za mapaa mengi huwa tukiita ni makadirio(approximation)kwamba kwenye uhalisia inaweza kuzidi,kupungua ama kuwa sawa.
Asante sana, mkuu nilimwita fundi akadai ninunue bando tisa za bati, nikaona fundi analeta maruweruwe tu nikaachana nae.Makadirio zitahitajika bati 89 pcs
Kwa mujibu wa formula inayotumika kupata estimation ya idadi ya bati, kadri Kona/mapaa yanavyokuwa machache ndivyo usahihi wa idadi itakayotajwa unavyo ongezeka.Vp mtalaam kama design ya nyumba sio yale mapaa marefu sana iwe ile standard inaweza kula bati ya chini 110? Kama ngapi hivi ?
Pamoja sana mtalaam. Ahsante kwa muda wako.Kwa mujibu wa formula inayotumika kupata estimation ya idadi ya bati, kadri Kona/mapaa yanavyokuwa machache ndivyo usahihi wa idadi itakayotajwa unavyo ongezeka.
Hivyo Kama mapaa yatakuwa si mengi idadi itabakia kuwa hivyo kwa ule muinuko wa mapaa ya nyumba nyingi za kisiasa.
Lakini endapo muinuko wa paa lako utapunguzwa kwa maana ya kuwa na ulalo ule wa kawaida kabisa(usio wa kisasa) idadi ya bati kwa mijibu wa vipimo vya nyumba yako inaweza pungua mpaka 95pcs
Vipi na kench likipigiwa hesabu kabla ya kupigwa Ili zipigwe hesabu za bati kabla ya kench na bati lenyewe.Kiufundi hesabu timilifu ya idadi ya bati zitakazohitajika huwa zikipatikana baada ya kench kupigwa hususani kwenye hizi nyumba za mapaa mengi.
Hesabu yoyote inakayopatikana kabla ya kench kupigwa kwenye hizi nyumba za mapaa mengi huwa tukiita ni makadirio(approximation)kwamba kwenye uhalisia inaweza kuzidi,kupungua ama kuwa sawa.
Vyote vinawezekanaVipi na kench likipigiwa hesabu kabla ya kupigwa Ili zipigwe hesabu za bati kabla ya kench na bati lenyewe.
Hakika hesabu za bati zinaweza kupigwa kabla ya kench kinachotakiwa kuwepo ni ramani na picha ya paa analotaka Ili watu waingie kazini kupata roofing details zote.