Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Kwahiyo una maoni Gani mkuu ni fail au?Hili game la diagnosis linahitaji uwekezaji...
Nimeona inauzwa laki Tano ila uzuri Ina scan kuanzia engine hadi transmissionHapana, usinunue cheap Bluetooth/wifi obdII nunua mashine kubwa ya diagnosis
Unapiga Mech pekee au na Auto electrical?Kwahiyo una maoni Gani mkuu ni fail au?
Mech in simple machine like bicycle na motorcycle, electronics plus auto electricalUnapiga Mech pekee au na Auto electrical?
Ukitaka kununua hizo mashine cheki specs zake.... hizo za bei chee huwa zina function chache mno mpaka ulipie tenaaa na bado itawork kwenye model chache za magari.
Cha kukushauri tembelea fundi yoyote anayefanya hiyo shughuli akupe ABC.
Nb: usisahau nijibu swali nililokuuliza
Umenichenga mkuu, so unatengeneza bicycle na motorcycle tu? kwenye magari uko upande upi? Mech au Auto?Mech in simple machine like bicycle na motorcycle, electronics plus auto electrical
Kwenye magari nataka nibase na auto tu.Umenichenga mkuu, so unatengeneza bicycle na motorcycle tu? kwenye magari uko upande upi? Mech au Auto?
kama upi mbona unamkatisha tamaaHili game la diagnosis linahitaji uwekezaji...