johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nauliza tu waungwana maana kwa sasa Naibu waziri wa Tamisemi mh Mwita Waitara anapatikana zaidi mkoani Mara kuliko Dodoma yalipo makao makuu ya wizara.
Kila waziri akiamua kwenda kufanyia kazi mkoani kwao sijui hali itakuwaje, maana nights zinaingia daily.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Takukuru
Kila waziri akiamua kwenda kufanyia kazi mkoani kwao sijui hali itakuwaje, maana nights zinaingia daily.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Takukuru