johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani kuna mipaka ya eneo la naibu waziri kufanyia kazi? Mara ameshamaliza kazi ya kurudisha kondoo waliopotea. Kwa hiyo hakuna jambo baya alilofanya.Nauliza tu waungwana maana kwa sasa Naibu waziri wa Tamisemi mh Mwita Waitara anapatikana zaidi mkoani Mara kuliko Dodoma yalipo makao makuu ya wizara.
Kila waziri akiamua kwenda kufanyia kazi mkoani kwao sijui hali itakuwaje, maana nights zinaingia daily.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Takukuru
Una bifu na Waitara??? Jana tena ulimpiga kofi kutujulisha alivyokimbizwa na wananchi...Nauliza tu waungwana maana kwa sasa Naibu waziri wa Tamisemi mh Mwita Waitara anapatikana zaidi mkoani Mara kuliko Dodoma yalipo makao makuu ya wizara.
Kila waziri akiamua kwenda kufanyia kazi mkoani kwao sijui hali itakuwaje, maana nights zinaingia daily.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Takukuru
Na wala sijamsikia akitembelea mikoa ya Kusini!Nauliza tu waungwana maana kwa sasa Naibu waziri wa Tamisemi mh Mwita Waitara anapatikana zaidi mkoani Mara kuliko Dodoma yalipo makao makuu ya wizara.
Kila waziri akiamua kwenda kufanyia kazi mkoani kwao sijui hali itakuwaje, maana nights zinaingia daily.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Takukuru
Amekuwa Heche tena na sio Meya na Mkurugenzi wa Alliance?...Heche amekupa bei gani umchafue naibu waziri